Online Complaints – Notice – Ilani

Notice/ Ilani

A complaint should only be lodged if you have been unable to resolve your issue informally. Complainants may be contacted and asked to provide additional information to support their complaint.

Malalamishi yanapaswa kufanywa tu ikiwa huwezi kutatua suala lako kwa usahihi au utaratibu uliowekwa katika idara. Walalamishi wanaweza kuulizwa kutoa maelezo ya ziada ili kuthibitisha malalamiko yao.

We will only use the information collected on this form to resolve your complaint and access will only be provided to authorised officers.

Habari zilizokusanywa katika fomu hii zitatumika tu kutatua malalamishi yako, na maafisa walioidhinishwa pekee ndio wataruhusiwa kuhusika na jambo hili.

In the event that your complaint is unresolved and you request an external review your details will be disclosed to the relevant body. Your personal information shall not be disclosed to any other organization unless required to do so by law.

Ikitokea kuwa malalamishi yako hayajaleta suluhu na unahitaji uhakiki kwingineko, maelezo yako yatapewa shirika linalohusika. Maelezo yako ya kibinafsi hayatapewa shirika lingine lolote isipokuwa kwa mujibu wa sheria.

TO GET ONLINE COMPLAINTS FORM CLICK BELOW/ KUPATA FOMU YA MALAMISHI BOFA HAPA CHINI: